Posted by Williammalecela.com on Sunday, February 19, 2017
Miongoni mwa matukio ya kushangaza kama sio kufurahisha yaliyofanywa ni lile la wachumba kumi walioamua kufunga ndoa zao wakiwa ndani ya jeneza huko Bangkok, Thailand.

Inasemekana kuwa wapenzi hao walifanya hivyo kwa kuamini kuwa ni njia ya kuondoa mikosi katika ndoa zao.
0 comments:
Post a Comment