Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 28, 2017
Waziri wa Habari, Nape Nnauye amedai kuwa mbinu zilizotumiwa na RC Paul Makonda kupambana na Biashara ya dawa za kulevya zina kasoro kubwa na zimewarahisishia wauzaji wakubwa kupoteza ushahidi.- Ahoji, “Unawezaje kumtaarifu muuza Dawa za Kulevya kuwa unataka kumkamata?”
0 comments:
Post a Comment