Mtu mmoja ambae alisemekana amesafiri miaka miwili iliyopita Samira Sultan Abdallah maarufu KINDI Mwenye umri wa miaka 56, Juzi amepatikana mifupa inayofikiriwa kuwa ni ya mwili wake.
Mifupa hiyo imepatikana kwenye karo Ubavuni mwa nyumba aliyokuwa akiishi kukiwa na nguo, handbag na vitu vingine vya kusafiria. Polisi wanaifanyia uchunguzi mifupa hiyo na fuvu la kichwa kuona kuwa Ni yeye bibi Samira.




0 comments:
Post a Comment