
mkali wa Bongo Fleva Madee kuwa amebarikiwa kupata mtoto mwingine siku za karibuni, kitu ambacho Watanzania wengi hawafahamu juu ya hilo.
Soudy Brown ameona sio mbaya akimvutia waya Madee na kumuuliza kuhusu suala hilo, ila Madee hakuwa tayari kutoa majibu sahihi kuhusiana na tetesi hizo. Ndipo ambapo Soudy Brown alipoamua kumvutia waya anayesemekana kuwa ni Mama wa Mtoto huyo mpya wa Madee.
Mama huyo amefunguka kila kitu kuhusu ukweli wa tetesi hizo na kudai kwamba mpaka sasa mtoto huyo ana umri wa miezi 4.
0 comments:
Post a Comment