Wednesday, March 29, 2017


Jumapili ya March 26, 2017 kupitia mtandao wa Instagram Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale alipost picha ya show ya Diamond nchini Oman ambapo kwenye caption aliilalamikia sekta ya Utalii TanzaniaBabu Tale aliandikaNajiuliza ivi nani kapewa jukumu la kuitangaza Tanzania na pesa
anazipeleka wapi ikiwa kuna baazi ya wahusika wa kuitangaza Tanzania awatumiki hata chembe mpaka nchi jirani wanawatumia. Mfano Samata angekua mkenya dunia nzima ingemjua pili tazama hapa ni Oman watu wamejaa sababu ya Mtanzania ila nchi na sekta usika zinafumbia macho.“Haya endeleeni kufumba macho mpaka mtakapo sikia hawa wakujivunia wanaanza kula unga kwa kupoteza matumaini hata ya kusaminika na Nchi yao #Tanzania#matokeChanya+” – Babutale

0 comments:

Post a Comment