| Tony Bellew (kulia) akizichapa na bondia David Haye (kushooto). |
Bondia Tony Bellew amesema alifahamu fika kwamba angeshinda kwa KO katika pambano la uzito wa juu dhidi ya bondia David Haye.
Katika pambano hilo bingwa wa
mkanda wa WBC uzito wa cruiser alifanikiwa kupata ushindi huo katika raundi ya
11 ya mchezo huo.
Bellew amesema alitupa konde hilo kwa umakini
mkubwa na anafurahi kwamba alishinda kama ambavyo alikuwa akiamini.
Na hivi ndivyo ilivyokuwa katika pambano hilo.
0 comments:
Post a Comment