Thursday, March 30, 2017

FB_IMG_1490866002999.jpg FB_IMG_1490865992408.jpg FB_IMG_1490866015109.jpg

"Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart inataka kupiga *mnada* nyasi bandia za SIMBA SPORTS CLUB na magoli yake, sababu kubwa ni uongozi (wamiliki) kushindwa kuzilipia *kodi*.
Mnada utafanyika siku ya:


Alhamisi 30/03/2017.
Eneo:Nyuma ya "The Waterfront Sunset Restaurant and Beach Bar", barabara ya Yatch Club, Masaki, ofisi mnada utakaofanyika zinaitwa *LW9*

0 comments:

Post a Comment