Posted by Williammalecela.com on Friday, March 03, 2017
Polisi
jijini Dar wamemkamata Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na
Uzima Leo siku ya Ijumaa akiwa nyumbani kwake na inasemekana wameweza
kumfanyia upekuzi upya.
Gwajima amepelekwa Central na taarifa zaidi zitafuatia
0 comments:
Post a Comment