Baada ya kumsaini Iyanya miezi michache iliyopita Producer na mmiliki wa Lebo ya muziki ya Mavin Records Don Jazzy anaendelea kuimarisha ngome yake kwa kusaini tena wasanii
wengine Watatu kwa mpigo. Leo Don Jazzy kupitia ukurasa wake wa Twitter ametangaza majina ya Wasanii hao kuwa ni Poe ambae ametamba sana na ngoma yake ya ‘Adore Her’,Johnny Driller na Mapacha wawili DNA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment