Posted by Williammalecela.com on Thursday, March 02, 2017
Mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa La Liga kati ya Barcelona na Sporting ambapo Barca wametoka na Ushindi wa goli 6-1 .Kocha mkuu wa timu ya Barcelona, Luis Enrique ametangaza kuwa huu ndiyo utakuwa msimu wake wa mwisho kuinoa miamba hiyo ya Hispania.
0 comments:
Post a Comment