
Katika mchezo huo ulihudhuriwa pia na waziri mpya wa wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr Harrison Mwakyembe ambaye ana siku mbili toka ateuliwa kuongoza wizara hiyo, Dr Mwakyembe yeye ni mwanasheria kitaaluma vipi kuhusu kuifahamu michezo?
“Walitaka nicheze katika umri huu mpira?? nadhani watanzania wengi sana tumekuwa active katika umri wetu lakini sasa umri unapozidi kusogea huwezi na wewe kuvaa jezi na kuanza kutafuta namba lakini hili linaeleweka tutashirikiana” Dr Harrison Mwakyembe
0 comments:
Post a Comment