Saturday, March 18, 2017

 Dubai kuja na mbinu mpya zaidi na ya kisasa kuhakikisha usafiri hautokuwa na kero tena kwa wakazi wake baada ya kutarajia kuzindua drones ziitwazo Ehang 184 ambazo zitatumika kama taxi ambazo hazitakuwa na dereva.

Drone hizo ambazo zitakuwa na uwezo wa kukaa mtu mmoja kila moja zimetengenezwa na Kampuni ya Ehang ya China na zitaanza kupakia abiria ifikapo July mwaka huu, kwa mujibu wa Mamlaka ya Barabara na Usafirishaji Dubai (RTA).

CHANZO NA millardayo

0 comments:

Post a Comment