Sikiliza Zitto Kabwe
Mungu amewapa wenzetu “wazungu” baraka ya utajiri wa technology.Na pia ametupa sisi watanzania baraka ya utajiri wa Udongo wenye thamani.
Sio busara na hekima kuwapelekea malighafi wao mana haiwezi kuhamishwa, ILA TECHNOLOGY INAHAMISHWA.
WAJE WALETE TECHNOLOGY TUTAZUNGUMZA NAO.
Jerry C. Muro
Machame, Hai
Kilimanjaro.
26/03/2017
Machame, Hai
Kilimanjaro.
26/03/2017
F
0 comments:
Post a Comment