Wednesday, March 29, 2017


Ni Headlines za staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ambae hakuweza kufisha hisia zake na kumjibu shabiki ambae alicomment kwenye ukurasa wake wa instagram na kuuliza kwanini hatoi sadaka.Diamond Platnumz alimjibu na kuyaandika haya“Nimejenga nyumba 5 mwaka jana
Iringa, Misikiti miwili na mmoja Morogoro na pia mwingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya imamu mbali na sadaka unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifuhishe nafsi yangu embu niombe radhi kwa hilo.” – Diamond

0 comments:

Post a Comment