Posted by Williammalecela.com on Monday, March 06, 2017
 |
|
LIVE
HARD TALK:- I AM THE CAPTAIN OF MY LIFE ...yaani mimi nayaongoza maisha
yangu ninaweza kula lunch Serena na nikaja kula lunch Kitaa yote ni
Maisha ...hahahaha hapa ni Wali, Maharage, Mchicha na Samaki jumla Tsh.
2,500 U know .....na maisha yanasonga mbele ....kujishusha in life ni
muhimu sana ama sivyo utashushwa na Dunia au Mungu so jishushe mwenyewe
....JAMANI JIONI NJEMA SANA U KNOW! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment