Tuesday, March 7, 2017



Shilawadu wamepenyeza taarifa za mkali wa Singeli afahamikae kama Man Fongo kuwa ametofautiana na G Maker ambaye ndiye alikuwa meneja wake katika kazi zake za kimuziki.Shilawadu wakaendambali zaidi na kumfikishia Soudy Brown taarifa za meneja huyo kumnyang’anya gari Man Fongo, gari ambayo Fongo alikuwa akiitumia kwa matembezi yake hapa na pale.


Soudy Brown akaona ili kukamilisha mchongo inabidi awavutie waya wote wawili na akafanikiwa kupiga nao story,
Mazungumzo ya Soudy Brown na washkaji hao wawili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini bonyeza play ili uweze kusikiliza mwanzo hadi mwisho.

0 comments:

Post a Comment