"Ingawa
jina langu limekatwa na Kamati Kuu ya Chama bila ya mimi nwenyewe
kuitwa na kuhojiwa ili nipewe haki ya kujibu hoja zozote dhidi yangu,
nawapongeza wote waliochaguliwa kuwa wagombea wa EALA kupitia CCM.
Ninawashukuru sana Wabunge kwa kunipigia kura nyingi zilizoniwezesha
kuwa miongoni mwa wagombea wanne wa mwanzo walioongoza kwa kura!"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment