Monday, March 6, 2017



Babu Tale Afunguka Baada ya Mwili wake Kupungua Ghafla...Awataka watu Kuepuka Matapeli

Afunguka haya:

"Epuka na matapeli haya ni matokeo ya gym sio dawa yoyote kuna wapuuzi wanasema nime bana tumbo sasa jamani sinaweza kujinyea maana mtumbo ulivyo mkubwa then uishie kuubana ukitaka kupungua fanya mazoezi sio unywe dawa utakuja kusaga vitu tumboni"

0 comments:

Post a Comment