Mcheza
tennis Jamie Murray pamoja na Bruno Soares wamefanikiwa kutwaa taji lao la
kwanza katika michuano ya wazi ya Mexico kwa wachezaji waili wawili.
Katika
mchezo huo Jammie pamoja na Bruno walifanikiwa kuwashinda John Isner toka Marekani, pamoja
na Mhispania Feliciano Lopez kwa seti 6-3 6-3 huko Acapulco.
Mara baada ya kutwaa taji hilo
Jamie amesema ulikuwa ni mchezo mgumu hivyo walilazimika kupambana ili kuupata
ushindi huo.
0 comments:
Post a Comment