Hali YA usalama mgodini si Nzuri watu 4 wamepoteza maisha wiki moja iliopita
- Aagiza Kamati YA Ulinzi wilaya, kamishina wa madini, mwekezaji, uongozi wa kata, kitongoji na wawakilishi 5 wa wananchi kukaa kwa pamoja kupata muafaka

- Amwagiza kamishina wa madini kufuta leseni za wataoshindwa kuendeleza na maeneo hayo wapewe wachimbaji wadogo
- ATAKA kamishina wa madini kukagua migodi na kuangalia usalama wa migodi 

- Atembelea mgodi wa sunshine wawekezaji wahahidi kujenga zahanati Kijiji cha ITUMBI

0 comments:
Post a Comment