Thursday, March 16, 2017

Image may contain: 3 people, sunglassesAfanya mkutano wa hadhara Kijiji cha Igava kata YA Igava- Mbarali Atambulisha timu mbili zitakazopita katika Vijiji 34 kupokea MAONI YA wananchi Ni baada ya wananchi kulalamikia kuwa mwaka 2008 wakati serikali inatangaza mipaka hawakushirikishwa Awaomba wananchi kujitokeza kwa wingi wakati Kamati zitakapipita katika Vijiji vyao
- Baada YA wananchi kutoa maoni ,baraza la madiwani, Kamati ushauri wilaya watatoa maoni kisha Kamati ushauri Mkoa na hatimaye kuwasilishwa kwa mhe Rais kwa ajili ya uamuziImage may contain: one or more people, people standing and outdoor
- Amewaonya wale wote watakaohujumu ZOEZI hilo Muhimu kwani lengo la zoezi zima ni kuondoa Mgogoro uliopo na hifadhi lakini utasaidia kuboresha ekolojia hifadhi YA RuahaImage may contain: one or more people, people standing, plant, outdoor and natureImage may contain: 5 people

0 comments:

Post a Comment