Thursday, March 16, 2017

Image may contain: 6 people, people smiling, people standing and suitAitisha kikao na viongozi dini na mila kwaomba msaada wa kukemea vitendo vya kishirikina Asema matukio YA watu kufukua maiti au kutozika kwa imani YA kuwafuafua hayapaswi kuachwa yaendelee KWENYE bibilia na Quruan imeandikwa kuna kufufuliwa, kuna kiama ,kuna pepo ni baada ya kufa Awaomba wasaidie kutoa Elimu na mafundisho yenye kuondosha matukio hayo Image may contain: 3 people, people sitting and indoor
Awaomba pia kusaidia serikali ktk mapambano YA madawa ya Kulevya kwa kutoa Elimu na hamasa YA kuelimisha madhara YA madawa ya kulevya
- Asema Mbeya itangazwe kwa sifa Nzuri kama Mkoa unaotegemewa kwa uzalishali wa Chakula, Mkoa wa Tatu kitaifa kuchangia pato la Taifa na ni Mkoa unapiga hatua kubwa kimaendeleoImage may contain: 3 people, people smiling, crowd and indoorImage may contain: 2 people, people standing

0 comments:

Post a Comment