
Kumekuwa na headlines nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Vyeti vya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaamPaul Makonda , Ayo TV imekutana na Mrisho Mpoto kwenye sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja tangu RC Makonda ateuliwe na Rais Magufuli
‘Mrisho Mpoto amesema kuwa hakuna mtu yeyote duniani ambaye yuko sawa, lazima ujiulize kuwa kwanini watu wanaotaka vyeti vya Makonda hawakusema wakati ni Mbunge wa Katiba, kwanini hazikuibuka wakati ni Mkuu wa Wilaya, au lengo lao wanataka aache kufanya kazi au aachane na ishu ya Dawa za Kulevya‘>>>Mrisho Mpoto
0 comments:
Post a Comment