Thursday, March 16, 2017



Mshambuliaji wa klabu ya Sunderland Jermain Defoe amejumuishwa katika kikosi cha wanandinga watakaounda kikosi cha timu ya Taifa ya Uingereza ikiwa ni kipindi kirefu kimepita toka alipoitumikia timu yake ya taifa kwa mara ya mwisho katika mchezo dhidi ya Chile wa November 2013.


Hadi sasa Defoe ameshapachika jumla ya mabao 14 katika ligi kuu soka nchini Uingereza, akiwa nyuma ya mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Harry Kane ambae sasa ana jumla ya mabao 19.

Kwa upande wa timu ya Taifa hadi sasa Defoe amepachika jumla ya mabao 19 katika michezo 55 aliyocheza .


Kikosi cha Uingereza kinajumuisha wanandinga wafuatao:

Magolikipa: Fraser Forster (Southampton), Joe Hart (Torino, on loan from Man City), Tom Heaton (Burnley).

Walinzi: Ryan Bertrand (Southampton), Gary Cahill (Chelsea), Nathaniel Clyne (Liverpool), Phil Jones (Man Utd), Michael Keane (Burnley), Luke Shaw (Man Utd), Chris Smalling (Man Utd), John Stones (Man City), Kyle Walker (Tottenham).

Midfielders: Dele Alli (Tottenham), Michail Antonio (West Ham), Ross Barkley (Everton), Eric Dier (Tottenham), Adam Lallana (Liverpool), Jesse Lingard (Man Utd), Jake Livermore (West Brom), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Nathan Redmond (Southampton), Raheem Sterling (Man City), James Ward-Prowse (Southampton).

Washambuliaji: Jermain Defoe (Sunderland), Marcus Rashford (Man Utd), Jamie Vardy (Leicester).


0 comments:

Post a Comment