Posted by Williammalecela.com on Thursday, March 30, 2017
Picha ya Katibu wa Sekretarieti ya Halmashauri ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anamringi Issay Macha, ambaye ameteuliwa leo na Kamati Kuu ya CCM, kugombea Nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
0 comments:
Post a Comment