Monday, March 13, 2017

Image result for rais magufuli 
Muda mfupi baada ya kutolewa kwa taarifa kuhusu kifo cha mmoja wa waasisi wa Taifa na Waziri mastaafu, George Kahama, Rais John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia yake.

0 comments:

Post a Comment