Rapa Bill Nas ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Mazoea' aliomshirikisha rapa mkongwe katika muziki wa bongo Mwana FA amefunguka na kusema katika mapinduzi ya video za Bongo fleva ambazo zilileta tija katika muziki wetu ipo video ya Diamond.
Bill Nass alisema hayo kupitia kipindi cha Nga'z Kwa Nga'z kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana EATV kila siku ya Alhamisi saa 3:00 Usiku
Tazama video hii akinyoosha maelezo.
0 comments:
Post a Comment