Kuanzia jioni ya jana moja kati ya issue zilizokuwa zinatrend sana katika mitandao ya kijamii ni pamoja na video inayo muonyesha mwanamitindo na video vixen maarufu Bongo Gigy Money akiwa anachorwa tatoo katika kalio lake.
Kama ulipitwa na video hiyo unaweza kuikodolea macho hapa chini.
Wapo ambao wamedai kwamba mwanadada huyo amefanya hivyo ili kutafuta kiki kwa kuona kwamba jina lake linaanza kupotea. Sasa kumaliza utata Soudy Brown amemvutia waya na kupiga nae story kuhusiana na tatoo hiyo.
Pia katika maongezi ya Soudy Brown na Gigy utaweza kusikia ukweli kuhusu mahusiano ya Gigy na mpenzi wake Mo J yako vipi kwasasa. Uhondo kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini. Bonyeza play kusikiliza.
0 comments:
Post a Comment