Tuesday, March 7, 2017


Wiki iliyopita baada ya mechi ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga kumalizikia kwa Yanga kuambulia kipigo cha magoli 2-1 dhidi ya watani zao wa jadi.

Kupitia mitandao ya kijamii kulionekana  kipande cha video kikimuonyesha mshabiki wa Yanga akilia sababu alibeat pesa ya mtaji shilingi 50000.
Kipande hicho cha video kilitrend na kumfikia Boss wa Team mziki mzuri  Ommy Dimpoz na kumuhurumia Kanjunju kutokana na kuliwa pesa yake ya mtaji na kumuhaidi kumsaidia shilingi laki 1.
Siku ya leo Kanjunju ameibuka mjengoni kufuatilia mtonyo aliopromisiwa na Mshikaji, lakini bahati mbaya Ommy yupo zake kwa Trump Ana show mbili tatu.
Kuonyesha Ommy hana choyo amehaidi kumletea Kanjunju Zawadi nyingine toka kwa Trump moja wapo ni hili koti alilovaa Dimpoz amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter!
kupitia Twitt hiyo Ommy alisema mwambie Kanjunju sisi Simba ni wa kimataifa nipo kwa Trump nikirudi nampa na hilo koti akabet tena akipenda.
Kama nawaona wanaotumia mbinu ya kulia wanavyowin siku hizi!!

0 comments:

Post a Comment