Friday, March 3, 2017

Nani tena anamchokoza madam Sepenga? Mrembo huyo ameamua kuwaka kwenye mtandao wa Instagram kwa watu wanaofuatilia maisha yake.

Kupitia mtandao huo, Wema ameandika:
Naomba nitoe tamko… Nakipenda Ki-choker changu saaana… And wearing it doesnt make me any less a muslim… Maana mshaanza…! My Daddy Sepetu was A Roman Catholic FYI…!!! Wote tunamwamini Mungu… So if u cant accept it, Deal with it…! Kupangiwa maisha mnanijua SIPENDI….

0 comments:

Post a Comment