Friday, March 3, 2017

Msanii wa rapa aliyetokea kuwa kiburudisho kwa wengi kutokana na ucheshi na mambo tofauti anayofanya kujipatia umaarufu kwenye muziki na mtandaoni.

Hivi karibuni alimpigia magoti Ali Kiba na sasa amekuja na jipya.
Wiki chache zilizopita Harmo alifananishwa na Nyani, kauli iliyotoka kwa dansa maarufu wa Diamond Platnumz ‘Mose Iyobo’. Kuthibitisha kuwa kauli hio haikuwa kitisho Harmo Rapa kapiga picha na dolly la nyani.


0 comments:

Post a Comment