
Le Mutuz Nation at City Centre.
· Instagram ·
LIVE STRAIGHT TALK:- The ART OF REVOLUTION
Mabadiliko ni Vita sio lelemama na hasa ya kujitoa from Darkness to the lightness na huwa ni chaguo la aidha KUFA au KUISHI better than kabla ya mabadiliko na mabadiliko huanza na our thinking
process ambayo huwa inakuwa guided na tunachokiona, kusikia na kusoma pamoja na our experiences so kabla ya kufanya uamuzi ni lazima tufanye utafiti na kuwa na FACTS za faida na hasara za mabadiliko tunayotaka kuyafanya in our lives....
.kuna ndege anayeitwa Eagle huwa anaishi Miaka 32 na akishafikisha miaka hiyo na akataka kuendelea kuishi huwa anatakiwa apitie a very painful process ya kujibadili ambayo inamtaka ahamie juu ya mlima na kuanza kujipigiza kwenye mawe makubwa ili kuondoa manyoya yake na kuondoa mdomo wake pamoja na makucha ni process ya maumivu na uchungu mkubwa sana na huifanya akiwa analia sana kwa uchungu na akifanikiwa mpaka mwisho Eagle hubadlika na kujiongezea miaka mingine 40 isipokuwa tu hii process yake ya kujibadiliki ni lazima ifanyike kwa siku 150 so ni aidha afanye hivyo aishi au aogope mabadliko afe
...na ni hivyo hivyo kwetu binadam katika maisha yetu hapa Duniani kuna mahali tunatakiwa tufanye maamuzi magumu ya aidha kubadlika na kutafuta maendeleo ili tuishi vizuri kuliko zamani au tuendelee kuwa kama zamani na kuishi kwa kukata tamaa ...binafsi nilianza mawazo ya kutaka mabadliko in my life nikiwa Darasa la Saba nilianza kufikiria kuwa na maisha bora kuliko niliyokuwa nayo nikaamua kwamba naweza kuyapata Ulaya so kuanzia pale nikaanza kutafuta pesa ili nikimaliza Shule niende mwenyewe Ulaya nikaanza biashara ya siagi na kuuza Dola za Kimarekani mtaani pamoja na kuuza magari na nyumba yaani nikawa a MIDDLEMAN mtu wa katikati by the time namaliza Form Six nilikuwa na pesa za kutosha kukata tiketi ya Sabena Airways mpaka Brussells/Belgium na pocket money za kutosha kuanzia maisha majuu nikahamia Antwerpen nikajisomesha then nikahamia New York City/USA na Miaka 6 iliyopita nikaamua kurudi cha msingi nilichokipata kule ni ELIMU na AKILI KUBWAZZZ ambayo sikuwa nayo kabla ya kwenda
..now my Friend uamuzi ni wako kufanya maamuzi magumu ubadili maisha yako yawe bora au ufe kwa kubaki kama ulivyo! - le Mutuz Nation
0 comments:
Post a Comment