Monday, March 6, 2017

Image may contain: one or more people, sunglasses and closeup
LIVE STRAIGHT TALK:- Morning Guys hahahahaha the ART OF MY AGE
.....hahaha unajua nilifundishwa kwenye Bible School USA kwamba Shetani ndiye Baba wa Maovu yote Duniani na ndiye Baba wa FALSE ACCUSATIONS na siku zote nia yake ni ....CHARACTER ASSASSINATION ....hahahaha na kwamba ukiwa na AKILI KUBWAZZ like me ni vigumu sana Shetani kujua MAPUNGUFU yako na moja ya nia na madhumuni ya Shetani ni kuwaaminisha binadam kwamba wote ni wapungufu kama yeye Shetani so hakuna lolote zuri tunaloweza kulifanya kuuona Ufalme wa Mungu ...kumbe ukiishi sawa sawa na Mungu Ufalme wake utaanza kuuona hapa hapa Duniani kabla hata ya kufika Mbinguni na ni sababu moja tu muhimu kwamba 

UTAKUWA NA AMANI YA MOYONI kama mimi na ukiwa nayo automatically unakuwa kama mimi HAPPY PERSON ...now Shetani hapendi so huwatumia binadam MBURULAZZZ WITH ZERO BRAIN kujaribu kukuharibia amani yako ....now kuna ishu moja nawaona maajenti wa Shetani wanahangaika nayo sana na mimi ya kuhusu MY AGE hahahha anajaribu kuifanya ishu ya kunivurugia Amani yangu lakini always anapiga ukuta hahahaha 

....ok guys wale Le Mburulazzz please kubalianeni basi kuhusu Umri wangu cause mimi sina tatizo kukubali umri wowote mnautaka niwe nao ...maana it is too much hebu kubalianeni nina umri gani? ..kati ya Miaka 50, 54, 55, 56, 60, au 70 ila tu mimi binafsi naomba kusema nina Miaka 70.... hahahahaa ...naomba kuwaambia wale wote mnaotumiwa na Shetani na hii ishu kwamba it is nothing to me cause I am having Super Fun of my Life ....nasikia my exwife aliwapeni so called "COPY OF MY PASSPORT" hahahaha.... lakini bado mnahangaika na Umri wangu hahahaha please nina umri wa Miaka 70 I work hard for my life and I pay for my life and I am having Super Fun of my life mengine sio muhimu ....like now ni matayarisho ya Safari ya Dodoma, South Africa then China so chagueni umri wangu please! ...mniache niendelee na my life hahahahaa LOV U GUYS! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment