Wednesday, March 15, 2017

Leo March 14 2017 Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi ‘CCM’ Taifa, Rais Magufuli amefunga semina ya viongozi na watendaji wa chama ambapo ameahidi kutorudisha majina ya watakaotoa rushwa wakati kuomba nafasi za
uongozi kwenye chama. Bonyeza play hapa chini kutazama

0 comments:

Post a Comment