Posted by Williammalecela.com on Thursday, March 30, 2017
|  |
| Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Makonda akitangaza ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini ambapo atatembelea Mkoa wa Dar na hasa Bandarini. Makonda amezungumza na Waandishi hao wa habari mjini Dodoma kinyume ya uamuzi wa Waandishi nchini kususia habari zake. |
0 comments:
Post a Comment