Posted by Williammalecela.com on Saturday, March 25, 2017
March 24 2017 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembealiapishwa IKULU jijini Dar es Salaam ambapo baada ya shughuli hiyo alifika Idara ya Habari MAEZELEZO na kupokelewa na wafanyakazi wa Idara hiyo.
0 comments:
Post a Comment