Siku chache zilizopita tulikuletea story kuhusu producer Mr T Touchez kusaini mkataba na msanii Young Dee, mkataba ambao wamedai kwamba ni wa kazi tu na vitu kama hizo.
Perfect255 imemtafuta Young dee na kupiga nae story kuhusiana na mchongo huo, na Dee ameelezea hisia zake kuhusu kufanya kazi na Mr T Touchez kwasababu anaamini Touchez ni producer mzuri na hakuta ambaye anakimbiza kwenye game kwasasa kama yeye.
Pia Young Dee amefunguka kwamba tofauti na Mr T Touchez, yuko na management ambayo anafanya nayo kazi kama msanii na kudai kwamba management yake ya sasa inafanya sana kazi tofauti na watu wanavyo fikiria na punde tu watu wataanza kuona matunda.
Yote aliyofunguka Young Dee nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play ili uweze kumsikiliza Young Dee akifunguka mwanzo mpaka mwisho kuhusiana na issue hiyo.
0 comments:
Post a Comment