Thursday, April 20, 2017

unnamed
Dar es Salaam, Alhamisi Aprili 20, 2017; Mwanariadha pekee wa Tanzania anayeshiriki mashindano ya London Marathon yanayofanyika jijini London jumapili hii amewasili Uingereza tayari kwa mashindano hayo ambayo yanayotarajiwa kushirikisha wanariadha mashuhuri duniani.
Alphonce, ambaye ni Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika mashindano maarufu ya Standard Chartered Mumbai Marathon, anatarajiwa kuwapa wakati mgumu manguli wa riadha ulimwenguni wanaoshiriki mbio hizi za London akiwemo Muethiopia Kenenisa Bekela pamoja na wengine kutoka Ethiopia na Kenya.
Akiongea muda mfupi kabla ya kupanda Ndege kuelekeaUingereza, Simbu alisema amejiandaa kupambana kufa na kupona kuhakikisha kuwa ananyakua medali kwenye mashindano hayo. “Nitapambana kwa nguvu zangu zote.Nina kwenda London nikijua wazi kuwa naiwakilisha nchi yangu kwenye mashindano haya makubwa.Nakwenda kupeperusha benderaya Tanzania” alisema simbu na kuongeza kuwa “Nina imani nitashinda kwani nimefanya mazoezi ya kutosha na ninaari na moyo wa kushinda. Naomba sala za watanzania wote ili niweze kuleta medali nyumbani” Alisema Simbu.
Ameishukuru sana kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia King’amuzi cha DStv kwa kumdhamini na kuhakikisha anakaa kambini kwa muda wote huo bila shida yoyote. “Nawashukuru sana DStv kwa udhamini wao mkubwa wa kambi yangu ya mazoezi pamoja na mahitaji yangu mengine kwa kipindi kirefu sasa. Kwakweliwaondiyowaliofanikishamaandaliziyangu” Simbuamewashukurupiawadauwotewariadhahususan Chama Cha Riadha Tanzania pamojanawizarainayohusikanamichezokwajitihadazaozakuahakikisha safari yakeyakwenda London inafanikiwa.
MkurugenziMtendajiwa Multichoice Tanzania Maharage Chande amesemakuwawanaimanikubwasananaSimbukutokananamazoezialiyofanya. “TunafurahisanakuwabaadayakuwekanguvukubwasasaSimbuanakwendakushirikimashindanohayaakiwaamejiandaavizuri. Tunaaminiatashinda, napiahuunimwanzowandotoyetukubwa, yakusikiakwamaraya kwanza wimbowetuwaTaifaukipigwakwenyemashindanoya Olympic. Kwamwenendo wake, tunaaminSimbuatatufikishahuko” alisema Maharage.
Multichoice Tanzania inamdhaminiSimbukwamudawamwakamzimakwalengo la kufanikisha maandalizi yake ya kushiriki katika mashindano ya Dunia yatakyofanyika jijini London mwezi wa nane mwaka huu. Udhaminihuuulianzatangumwaka 2016 ambapo Multichoice humpatiaAlphonceposhoyakujikimupamojanakusaidiakambiyakeyamazoezi.
Alphonce anatarajiwa kuwasili nchini siku ya jumatatu Aprili 24 saa mbili asubuhi katika uwanjawa Ndege wa Kilimanjaro.
Multichoice provideAlphonce with subsistence allowance as well as financing his training. Currently Multichoice is fully sponsoring his training for the preparation of the upcoming London Marathon taking place on 23rd April 2017.
Multichoice Tanzania is supporting Alphonce as part of its Social Value Initiative of nurturing local talents.
For inquiries contact
johnson.mshana@tz.multichoice.com

0 comments:

Post a Comment