Mazishi ya Stide kijana maarufu aliyekulia na kuishi Upanga kwa muda mrefu yamefanyika Bukoba leo na kuongozwa na marfiki wa karibu sana na marehemu Andrew Kusaga na Gody Kusaga pichani. Marehemu Stide alifariki Dunia majuzi na alizikwa leo huko kwao Kanazi, Bukoba.
0 comments:
Post a Comment