Thursday, April 13, 2017

Mbunge wa viti maalum CCM Lucy Mayenga alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo katika mchango wake alionesha kuchukizwa na baadhi ya watu wanaoikosoa Serikali inashindwa kutekeleza majukumu yake.
‘Wakati naingia hapa Bungeni kuna wabunge nilikuwa nawaona watu wazima na unawapa shikamoo! lakini ukikaanao kama mwaka mmoja unaona hawapaswi hata kupewa mambo kwa vitu vya aibu anavyovifanya’ –Lucy Mayeng
‘Wakati wa uchaguzi kulikuwa na makundi, sasa tuachane nayo na tuijenge nchi yetu, kuna wengine wanakaa kuisema Serikali mwisho mtakosa ubunge mrudi nyumbani maisha yaaanze kuwa magumu’ –Lucy Mayenga

0 comments:

Post a Comment