Wednesday, April 26, 2017


 Le Mutuz Nation ambaye majuzi tu alirejea nyumbani kutoka ziara ya HONG KONG, MACAU NA CHINA leo ametimka tena kuelekea Johannesburg/South Africa na ndege ya Shirika la ndege la South Africa Airways leo asubuhi sana. Haijafahamika Le Mutuz anakwenda kufanya nini lakini
lakini inaaminika anakwenda kikazi ambapo huko South ana mkataba wa kazi na kampuni ya simu ya MTN. Safari yake ya leo imezua gumzo kubwa hapa mjini ambapo wadau wengi wamejadili safari nyingi za nje za Le Mutuz zisizoisha.



0 comments:

Post a Comment