Thursday, April 6, 2017

Image may contain: 1 person, suit
Muda mchache uliopita Blogu hii ya Wananchi imethibitisha kuwa habari za Chande kiongozi wa Freemasons Tanzania kufariki sio za kweli na kwamba yupo hai, ni baada ya kuongea na mtoto wake wa kike hapa mjini live aliyethibitisha kuwa hizi habari sio za kweli na kwamba Baba yake huyo yupo kwenye majonzi mazito kwa kusingiziwa kifo na huku akiwa hai. Blogu ya Wananchi pia tunaomba radhi kwa usumbufu wa aina yoyote uliotokea kwa kutokana na Taarifa hii iliyosambaa toka majira ya saa Tano Asubuhi kwenye media outlets karibu zote nchini.

0 comments:

Post a Comment