Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 05, 2017
Benon Karebere mwenye umri wa miaka 40, ameibuka na kudai ni mtoto wa Rais wa Uganda Yoweli Museveni.
Karebere anasema amechoka kukaa na siri hiyo kwa muda mrefu, hivyo sasa
anataka familia ya rais huyo wamtambue kama mmoja wa wanafamilia.
0 comments:
Post a Comment