



























Labda
una ndoto za kuwa mtayarishaji wa filamu mbalimbali hapo baadaye, au
siyo? Au unataka kuweka rekodi kwa kutengeneza filamu nzuri ambazo
zitakuja kukimbiza sana Tanzania na duniani kote, au siyo? Basi unaweza
kutazama baadhi ya picha, kidogo unaweza kugundua wenzetu wanafanyaje
mpaka filamu kukamilika.
Wenzetu
wameendelea, mpaka kufika hapo walipokuwa, haikuwa miujiza, haikuwa
bahati, ni kwamba walijipanga, walisoma mpaka kufika hapo walipokuwa.
Ni
safari ndefu, yenye kukatisha tamaa lakini mwisho wa siku wakafanikiwa.
Wakaanza kutengeneza filamu nzuri, zenye mazingira ya kupendeza mpaka
wewe mwenyewe ukazipenda.
Hebu
tazama baadhi ya picha za filamu, wanavyoigiza na baadaye kipande
kuingizwa kwenye kompyuta na kuanza kutengenezwa. Hakika utazipenda hizi
picha.
0 comments:
Post a Comment