Kamanda wa polisi, mkoa wa kipolisi Ilala Salum Hamduni amesema wamewazuia wafuasi wa CUF wanaomuunga mkono Katibu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kufanya usafi katika ofisi za chama hicho Buguruni siku ya Jumapili.
CUF walipanga kufanya usafi katika ofisi zao wakisema kuwa Profesa Lipumba amekuwa akitumia vibaya ofisi hiyo kwa kuifanya kijiwe cha wahuni kupanga mambo ya kihuni ikiwepo kupanga mipango ya kuvamia watu.
0 comments:
Post a Comment