Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ameweka wazi bei ya bidhaa mpya ya Diamond Platnumz ambayo imezinduliwa rasmi leo hii (Chibu Perfume).
Ni kwa mtonyo wa shilingi za kitanzania laki moja na elfu tano (Tsh. 105,000/=) ndio ambayo itakuwezesha kuing’oa perfume hiyo dukani.
Unahisi bei hiyo iliyopangwa ni rafiki kwa Watanzania? Niandikie maoni yako hapa chini na wahusika watapita nazo kama kawiz.
0 comments:
Post a Comment