Thursday, April 27, 2017

Bongo Fleva Diva Shilole ametoa ujumbe kwa wanaume wanaopenda kulelewa na wanawake. Kwenye ujumbe huu ShiShi anasema kama Mwanaume umeshindwa kumudu majukumu yako basi kubali lolote atakalo fanya mwanamke wako.

Ujumbe huu unasema Yan nilipe hotel mimi Ninunue chakula na nguo mimi Bado nikupe na pesa mimi 
Bado na kunila unile bure…Hivi mpk hapo nani mwanaume kati yangu na wewe?
Kwanini ukileta ujinga usile tu vibao yani. Mwanaume majukumu ukiona yamekushinda kubali tu yote…kupigwa, watu kukusaidia kazi na vinginevyo

Shilole aliwahi kuripotiwa kumpiga Ex wake Nuh Mziwanda na hata kupelekea Nuh kuimba Jike Shupa na kuonyesha vitendo vya kupigwa na Shilole…..

0 comments:

Post a Comment