Tuesday, April 4, 2017

Image may contain: 3 people, sunglasses
Kuna tetesi za Le Mutuz Nation kuachana na Mchumba wake wa muda mrefu Super Model Nasra International na kwamba sasa yupo na huyu mrembo asiyefahamika sana hapa mjini, Le Mutuz anafahamika sana kwa kuruka ruka sana na warembo wengi hapa mjini toka aliporudi kutoka USA alikokuwa anaishi kwa muda mrefu sana. Juhudi za Blogu hii kumpata mwenye Le Mutuz kujua habari hizi hazikuwezekana kwa sababu hakupokea simu yake.

0 comments:

Post a Comment