Thursday, April 6, 2017

#Anaitwa Jack Dorsey ambaye ni mtaalam wa IT kutoka Marekani .
#Jack Dorsey Ndiye mwanzilishi wa mtandao maarufu wa Twitte hapa duniani,,,#Jack Dorsey ni mwanzilishi wa kampuni ya mobile payments company ,,
#Mwaka 2008 alitajwa kati ya vijana 35 duniani ambao ni wabunifu wa wavumbuzi wapo chini ya miaka 35 ,
#Mwaka 2012 alipewa tuzo na The Wall Street Journal kama mvumbuzi kwa upande wa technology
#Inasemekaa ana utajiri wa bilioni US$1.44..

0 comments:

Post a Comment