Inasemekana
huyo bwana alimuwaga mpenzi wake kwamba amepata kazi Alaska na
akaondoka huku mpenzi wake huyo alimsindikiza airport. Baada ya muda
akisikia kutoka kwa marafiki zake kwamba huyo bwana yuko nchini UK
anaishi na mwanamke mwingine.
Mkono wa Torz ukiwa na tattoo yenye jina la ex wake 'Chopper'
Torz akionyesha kifaa alicho tumia kumenyea ngozi yake hiyo
Torz akionyesha mkono wake baada ya shughul hiyo na kipande cha ngozi alicho menya
Kipande cha ngozi kikiwa kwenye chupa tayari kupelekwa posta
Alama iliyo bakia baada ya kutoka kipande cha ngozi kilicho kuwa na jina la 'Chopper'
Majanga
Huyu ndiye bwana aliyetumia zawadi ya kipande cha ngozi chenye jina lake
|
Jamani tuweni makini na hizi tattoo na pia napenda kunukuu maneno








0 comments:
Post a Comment